Sunday, 8 June 2014

VIPENGELE VYA UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI


Yaliyomo

  • Fasili ya fasihi
  • fasili ya uhakiki
  • Vipengele vya uhakiki wa kazi za fasihi 
  1. Fani
  2. Maudhui
Fasihi ni sanaa inayo tumia lugha katika kufikisha ujumbe kwa hadhira iliyo kusudiwa (Taasisi ya Elimu Tanzania, 1996). Haji (1983:30) fasihi ni sanaa itumiayo maneno ili kutoa picha halisi ya mwanadamu akiwa maishani mwake; mahusiano yake na viumbe wengine, migogoro yake na